Paint Gun Game....!!!!

Paint Gun Game....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
paint.jpg
Wakuu,
haya mambo nilikua nayaona kwa wazungu tu kwenye muvi kumbe kibongo bongo yapo, kuna sehemu pale mbele kidogo ya Rose garden ya ukweli sana wameitengeneza kwaajili ya mchezo huu. Kwa wasio fahamu, paint gun ni mchezo ambao upo so fun wakupigana na risasi za rangi (zinaumiza kimtndo-kwa mbali) na mnakua mnasaka flag. Nasikia kwa pale unalipia buku 30 then unapewa risasi mia za kuingia mchezoni. wakuu we should have fun sometimes, ngoja nikifanikiwa kwenda kujaribu then ntakuja kudare a challenge, nataka nikapime skills zangu za COD, Battlefield, Sniper Elite na Medal Of Honor kama zina apply in real life.
 
buku thelathini ni kwa mtu mmoja au party? maana kama mmoja, mmh... ila kama group, nitanda na masela wawili watatu nikaonyeshe uwezo
 
buku thelathini ni kwa mtu mmoja au party? maana kama mmoja, mmh... ila kama group, nitanda na masela wawili watatu nikaonyeshe uwezo

Mtu mmoko kaka!
 
Back
Top Bottom