paid video viewing

WIMICKY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
1,439
Reaction score
1,575
Habari jamani naomba kufahamu kama kuna mtu aliyewahi lipwa kwa kutizama video mtandaoni maana kuna jamaa kanitumia link anasema aliwahi lipwa naomba uzoefu kwa mwingine aliyewahi lipwa au mwenye kulifahamu kiundani suala hili
 
Unalipwa utazame? Yaani faida yako wao wakulipe.

Anyway na Mimi hii nilisikia na kuna mdau humu alileta mrejesho kuwa mfumo huo upo japo umekaa kimagumashi maana ni kama unatangaza biashara hivyo unaweza angalia na usipate mkwanja.
 
Yani hiyo kitu ni uongo mtupu mana utaangalia utaishia kupoteza mb zako kijnga ni Bora hizo mb ufanye kitu online Cha maana
 
download vpn, ingia kwenye nopo websites enjoy life, hakuna mfanya biashara atakulikwa kwa kuangalia duka lake ova
 
download vpn, ingia kwenye nopo websites enjoy life, hakuna mfanya biashara atakulikwa kwa kuangalia duka lake ova
Mkuu app ipi ya vpn ni free na reliable kwa mazingira yetu ya kibongo bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…