ContentCreator
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 151
- 234
Premise ni legit site nishatoa airtime ya 10,000 mara Moja na wiki ijayo natoa Tena 10,000 kwa sababu nshafikisha minimum amount to withdraw
Unaamka usiku wa manane upate Tsh. 100? Really! Mbona ni ndogo kuliko bundleKwa muda mrefu nimetumia Premise ukitaka kupata task za kutosha tegea kila siku ifikapo saa sita usiku log in kwenye app yao. Japo task based on my location zina lipa kidogo napiga tasks kama 4 mpaka 5 kwa siku ila task moja una kuta inatoa tsh.20 mpka 60. So kwa wale wanao kosa task change schedule ya kucheck tasks zako cheki usiku alafu usisahau kutoa reply hapa