Hawakawii kukupa task uende porini kupiga picha za nyoka
Aisee. Nimetoka kapa....baada ya premise kuanza kuzingua hv. karibuni ktk utowaji w task zao ,imefka hatua kW cku unaweza ambulua task 1 au ucpte kbsa ssa naomb kujua km kun app nyengne nzur y inayo fnya vizur km premise?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawakawii kukupa task uende porini kupiga picha za nyoka
Hawakawii kukupa task uende porini kupiga picha za nyoka
Aah duh hilo poz kk
Hawakawii kukupa task uende porini kupiga picha za nyoka
Hawakawii kukupa task uende porini kupiga picha za nyoka
Mkuu hip pesa umeipiga premise?? Pliz ielekeze umefanyagaj kk!Jana nimepiga task mbili kila moja 12,000/-
Thanks ngoj nijarbKwa muda mrefu nimetumia Premise ukitaka kupata task za kutosha tegea kila siku ifikapo saa sita usiku log in kwenye app yao. Japo task based on my location zina lipa kidogo napiga tasks kama 4 mpaka 5 kwa siku ila task moja una kuta inatoa tsh.20 mpka 60. So kwa wale wanao kosa task change schedule ya kucheck tasks zako cheki usiku alafu usisahau kutoa reply hapa
Zina toka fatilia...Mkuu hip pesa umeipiga premise?? Pliz ielekeze umefanyagaj kk!
Ukifanikiwa leta majibu hapa ili wengine wapate somo piaThanks ngoj nijarb
Task tsh20!! Mbona ndogo snKwa muda mrefu nimetumia Premise ukitaka kupata task za kutosha tegea kila siku ifikapo saa sita usiku log in kwenye app yao. Japo task based on my location zina lipa kidogo napiga tasks kama 4 mpaka 5 kwa siku ila task moja una kuta inatoa tsh.20 mpka 60. So kwa wale wanao kosa task change schedule ya kucheck tasks zako cheki usiku alafu usisahau kutoa reply hapa
Nadhani baada ya kuona wana tumia app yao kutoa feedback ni wengi basi wameamua kupunguza dau. Ndio mana nikasema nafanya tasks kama tano mpaka sita napata tsh.100 kwa sikuTask tsh20!! Mbona ndogo sn
Ooh, okyNadhani baada ya kuona wana tumia app yao kutoa feedback ni wengi basi wameamua kupunguza dau. Ndio mana nikasema nafanya tasks kama tano mpaka sita napata tsh.100 kwa siku