Paid internship (Journalism Tutor) at Dar es Salaam School of Journalism

Simba Mwema

Member
Dec 5, 2023
37
58
Journalism Tutor is needed at Dar es Salaam school of Journalism

DSJhttps://www.prasdel.co.tz/vacancy-details/journalism-tutors-1

IMG_20231227_093927_423.jpg
 
Wako pale majengo ya BASATA pale pia ni Kampasi yako
Daaah,kipindi nasoma PhD nikaombaga kazi pale Part Time,nikaitwa kwenda kuonana na Principal alikuwa Mzee mmoja hivi,nikaenda nikamkuta mwenyewe kavaa Suti na Pama lakeAkaanza kunihoji pale nikamueleza CV yangu nikaona ameshtuka,akasema niondoke nitakujulisha badae. Jioni akanitumia sms kwamba nime-over qualify hivyo sifainikabaki nacheka tu
 
Na kweli ulikuwa overqualified
 
Mimi nilikuwa willing kwa sababu nia yangu ilikuwa nipate uzoefu kumwaga nondo kwa vijana,na kwa kuwa nilikuwa free nilikuwa Likizo Ofisini kwangu kwa siku zote sikuona shida hata angeniambia bure
Vyuo vya ujanja ujanja mshahara unalipwa kutoka mkono uliokunja ngumi ......utafungulia nje huko....ujanja mwingiiii
 
Vyuo vya ujanja ujanja mshahara unalipwa kutoka mkono uliokunja ngumi ......utafungulia nje huko....ujanja mwingiiii
Hakika hakuna Chuo pale,ukishaona Chuo kipo ghorofani sijui ujue uzushi tu,hata Bwana Chalamila alisema kwenye clip moja
 
Hakika hakuna Chuo pale,ukishaona Chuo kipo ghorofani sijui ujue uzushi tu,hata Bwana Chalamila alisema kwenye clip moja
Pamoja na hivyo uliomba kazi kwenye chuo hicho hicho na wakakujibu "ume overqualify".
Hii dunia hii ukiwa na msongo wa mawazo ni kosa lako.
 
Mimi nilikuwa willing kwa sababu nia yangu ilikuwa nipate uzoefu kumwaga nondo kwa vijana,na kwa kuwa nilikuwa free nilikuwa Likizo Ofisini kwangu kwa siku zote sikuona shida hata angeniambia bure
Nafiriki wao wanatoa Certificate &Diploma akaona umezid mnoo kuwafundisha hawa how vijana, pia nafikiri alishtuka kuona mutu mwanye PhD kuja kufanya kazi kwale, kama haitoshi yawezekana hukujieleza vizuri
 
Kwa kifupi hiyo nafasi sikuomba na nisingeomba,nilikuwa kule Ilala pembeni
ya hiko Chuo nafanya service ya gari langu,hivyo wakati nasubiri,jirani yangu kulikuwa na kijana mmoja ambaye ni Mwalimu kwenye hiko kichuo akawa anaongea na mwenzake kwenye simu kwamba wanahitaji Mkufunzi,so nikamuuliza masomo gani akaniambia, nikamwambia nimesomea mambo hayo na ndio namalizia kuandika Thesis yangu ya PhD,akaniambia kama ni kweli nimuonyeshe Vyeti(nikamuonyesha cha First Degree na vya Masters viwili)nilikuwa navyo kwenye Laptop,akawa surprised,akaniambia napandisja juu kumueleza Principal kisha nakuja akaenda. Baada ya dakika 20 akaja kuniita nikaonane na Boss nikaenda.
Sasa ndugu uliyesema nilishindwa kujieleza yaani nisome Degree ya Kwanza,Masters Mbili na PhD zote Ulaya kwenye reputable Universities,nije nishindwe kujieleza kwa Principal wa DSJkuwa serious aise
 
Back
Top Bottom