Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Linapatikana wapi gazeti hilo nikanunue nipate full News?Source: Gazeti la Bibwa la leo.
Balantanda, Pengo aliposema " kufanya hivyo ni sawa na kuingilia kesi iliyoko mahakamani" nilivyomuelewa hakuwa na maana kuna kesi juu ya Papic au TFF inayoendelea hivi sasa mahakamani! Ila alikuwa na maana ya kuvujisha taarifa kuwa Papic ndie aliyeshinda usaili na hivyo ndio kocha mtarajiwa wa Stars, ni sawa na kuingila kesi mahakamani kwani inaweza kuathiri mchakato mzima na kubadili matokeo!
Kama tamwacha basi itakuwa ni kwa sababu hawakumtaka lakini siyo sababu eti Kilembwe na Monsignor wamepata habari kabla hazijatoewa na tiefuefuBalantanda, Pengo aliposema " kufanya hivyo ni sawa na kuingilia kesi iliyoko mahakamani" nilivyomuelewa hakuwa na maana kuna kesi juu ya Papic au TFF inayoendelea hivi sasa mahakamani! Ila alikuwa na maana ya kuvujisha taarifa kuwa Papic ndie aliyeshinda usaili na hivyo ndio kocha mtarajiwa wa Stars, ni sawa na kuingila kesi mahakamani kwani inaweza kuathiri mchakato mzima na kubadili matokeo!