KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Mimi natumia ninayoipenda. Sijawahi ambiwa kama inawakera wenzangu au la....Ikitokea nawakera nitabadilisha.
Kuna siku nilikua pale DSE kumuulizia Broker mmoja (wakiume) nikaambiwa hayupo,,mara mdada mmoja akadakia kwa kusema,,"afadhali leo hakuja kwani pafyume yake huwa inakera.
Leo nimeingia ofisi moja kuna wadada na wanaume wanajadili mdada mmoja ambaye ni secretary,jinsi ya kumwambia, kwani pafyumu yake huwa inawakera pindi anapokatizakatiza kwenye makoridor.
Kama mjuavyo kuna brand tofautitofauti za pafyumu:-
-Sasa wakuu, hiyo pafyumu uliyotumia unajuaje kuwa haiwakeri wenzako?
-Ivi unapaka pafyumu kwasababu unaipenda au wenzako wataifurahia manukato yake?
-Unauhakika gani kuwa hujadiliwi kuhusu pafyumu unayotumia?
Kiukweli mimi huwa situmii kabisa pafyumu wala lotion,na mafuta ninayotumia ni yale yasio na harufu kabisa kama Vaseline na Nivea, yote haya kuepuka kumkwera mtu yeyote.
Nimewahi ambiwa tu kuwa ni nzuri, hiyo ya kuwa inamkera mtu sijaambiwa. Nitabadili endapo nitaambiwa inakera...Mkuu usitegemee kuambiwa live,,pengine wanakuongelea pembeni. Sasa huoni kuwa unawakera wengine?
mie ni mpenzi mkubwa wa perfume....
ila natumia zisizo na harufu kali (perfume kali hunipa mafua,) pia sipeni harufu kali, napendelea harufu iliyotulia, isiyoumiza pua na si yenye harufu kali mpaka ukipita watu wajue Badili tabia kapita hapa.
ila perfume kali huumiza, huleta mafua na sometimes hata kichwa kuuma. ila ndo hivyo kila mtu na mapenzi yake na kila mtu ana uamuzi wa kupaka aina ya perfume aitakayo.
Ni vizuri kupaka perfume yenye harufu iliyopoa mchana au unapokua ofisini,ili usikere wengine,
kuna watu wana allergy na harufu kali mwisho wanaanza kupiga chafya.
Au unakuta mtu kapaka body spray juu ya nguo kama perfume,kumwambia huwezi inabidi tu unyamaze.
ila ni vizuri unapokuwa na wenzako uwe makini wanaweza wasikwambie kumbe una wakera.
umenikumbusha mbaliiiiisasa mnataka simla na yolanda zangu nizitupe?