TURUFUDUME
Member
- Dec 14, 2014
- 70
- 39
Nina pafyum kutoka dubai nauza kwa jumla tu . Nipo dar , nimechukuwa dubai kwa ajili ya kumuanzishia biashara shemegi / wifi yenu .mimi ishu yangu ni spea za gari tu lakini mara hii my waif wangu kaniagizishia pafum ii na yeye afanye biashara. Ukitaka kuona njoo kwenye watsap 0773617671 nitakutumia picha . Nipigie kwa cm 0657617671 au 0773617671 mzigo upo nyumbani. kwa walio mikowani naweza kuwatumia huko huko. natumia cm ya tecno siwezi kuweka picha.