padri nifanye nini niishi maisha marefu
padri?
padri:je unalewa?
mhumini:hapana
padri:unavuta sigara?
muhumini:hapana
padri:unacheza kamali?
muhumini: sichezi
padri:unafanya ngono?
sipendi
padri:wee msee***** sasa maisha marefu ya nini?
Last edited by a moderator: