Padri Kitima amekuwa Askofu na Hamsemi

Padri Kitima amekuwa Askofu na Hamsemi

kinondoniilala

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,625
Reaction score
1,868
Nimesikiliza video ya dada Mmoja anajiita Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe, anajitambulisha kuwa yeye ni Mkatoliki akimtuhumu Padri Kitima kwa kujihusisha na siasa, kilichonishangaza huyu Dada Mkatoliki anamuita Padri Kitima kuwa ni Askofu, hapa imebidi nijiulize yaani Padri Kitima amekuwa Askofu na Hamsemi.
 
Utambue kuwa hakuna chawa wa kitumiwa na watawala katika uovu, ambaye huwa na akili timamu. Huyu ni chawa anayetumiwa na watawala wauaji, usitarajie kuna popote atakapotumia akili hana!

Fuatilia hata hapa JF, kama utaona andiko lolote la yale machawa sugu, kama utapata andiko lolote linaloshiria akili kuyoka kwa machawa sugu yanayofamika: Mwashambwa, Big Show, Tlaatlah, Doctor wa Manesi, n.k.
 
Back
Top Bottom