Hali ni mbaya kuliko maelezo! Madam President tunahitaji sasa kuona stern measures dhidi ya Corona na chanjo zikipatikana badala ya zile hadithi za Abunuwasi za "hakuna corona"!
Kiungwana Serikali inatakiwa imwombe radhi yule VC wa OUT Prof. Bisanda aliyewaomba jumuiya ya OUT kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19! MATAGA walimzodoa sana yule Profesa; nadhani huko aliko anajisemea "unaona sasa". Kwa hakika uongo ni wa kitambo ila ukweli hudumu milele!
... kiungwana Serikali inatakiwa imwombe radhi yule VC wa OUT Prof. Bisanda aliyewaomba jumuiya ya OUT kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19! MATAGA walimzodoa sana yule Profesa; nadhani huko aliko anajisemea "unaona sasa". Kwa hakika huongo ni wa kitambo ila ukweli hudumu milele!
Hayo ni matokeo ya kuwa na miungu mtu na kuitukuza. Ukandamizaji na udikteta. Mungu ambariki prof wa OUT. Aishi miaka mingi ili ashuhudie wale waliombeza wakifyekwa na Covid 19 wote kabisa. Lete mvinyo