PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 974
Uislam uanaamini kuwa dini na siasa kuwa ni kitu kimoja. Ila kanisa enzi za nyerere lilileta influence ya kutenganisha wakatai huohuo wana operate chinichini kwenye siasa kwa kupitia vibaraka wao wa catholic old boys ambao wengi wao walishika nyadhifa mbalimbali serikalini