Padre Proper Kessy: Wanaofanya kazi Serikalini wanakaa na siri nzito ambazo wanajua wakizitoa zitaleta ukombozi

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Akizungumza wakati anatoa Semina kwenye Mafungo ya WAWATA Jimbo Katoliki Bagamoyo, ambayo yaliyofanyika Jumamosi ya Tarehe 14/03/2026 katika Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria Padre Prosper Kessy wa Jimbo Kuu la Dar es salaam alisema kuwa kuna viongozi Serikalini wanakaa na siri nzito ambazo wangezitoa zingeleta ukombozi nchini

Hahahahaha!
Halafu wanaume kumshupalia mwanamke kiukweli haipendezi kabisa kiasili. Naona mijanaume ya kikatoliki imemkomalia Samia alfajiri, asubuhi, mchana, alasiri, jioni, usiku Hadi usiku wa manane........sijui ndo mishoga yenyewe hii?!!!!!
 
Hata Dr. Manyaunyau hawezi kuwa na akili kama ya Dr. wewe...Mungu akusaidie kwa kweli!!
 
Viongozi wa Katoliki Kwa kweli hichi mnachofanya Hakina afya kabisa Kwa taifa

Sisi kama watanzania tunatambua fika kabisa Uongozi huu na legit na tuna support ili kusukuma guruduma la maendeleo nyuma Lakini nyie kuchwa kutwa kubweka kiukweli mnaleta mipasuko
 
Hahahahaha!
Halafu wanaume kumshupalia mwanamke kiukweli haipendezi kabisa kiasili. Naona mijanaume ya kikatoliki imemkomalia Samia alfajiri, asubuhi, mchana, alasiri, jioni, usiku Hadi usiku wa manane........sijui ndo mishoga yenyewe hii?!!!!!

Loh! Wewe kumbe una matatizo ya akili!! Watafute ndugu zako, waulize wanakuonaje, na kama wanakuona una tatizo la akili, wakusaidie; maana kwa wewe mwenyewe mwenye tatizo la akili ni vigumu kujitambua.
 
Viongozi wa Katoliki Kwa kweli hichi mnachofanya Hakina afya kabisa Kwa taifa

Sisi kama watanzania tunatambua fika kabisa Uongozi huu na legit na tuna support ili kusukuma guruduma la maendeleo nyuma Lakini nyie kuchwa kutwa kubweka kiukweli mnaleta mipasuko

Usiwalaumu viongozi wa Kanisa.

Hii nchi ni ya sisi sote, hakuna mwenye haki kumzidi mwingine kwa sababu tu yeye ni wa dini, kabila au chama fulani.
Nchi yetu kwa sasa ipo kwenye laana ya ajabu ambayo hakuna ambaye aliwahi kuifikiria. Kuua watu maelfu kama ilivyofanyika October 29, kutrka na kuwachinja watu kama kuku, siyo jambo la kawaida kabisa. Kwa hakika, kila aliyehusika na mauaji yale, bila ya kujali nafasi yake, anatakiwa kuondolewa kabisa kwenye utumishi wa umma.
 
Nchi Iko swaaafi kabisa na ndo kwanza neema zinazidi kufunguka tu mafala nyie. Mlio kwenye laana ni wewe tu na mumeo. Mfumo hauwezi kuwachekea washenzi waliopangwa kuharibu Mali za umma, kujua askari wetu, kuharibu Mali za watu flani (kama mlivyowaelekeza) n.k
 
Viongozi wa Katoliki Kwa kweli hichi mnachofanya Hakina afya kabisa Kwa taifa

Sisi kama watanzania tunatambua fika kabisa Uongozi huu na legit na tuna support ili kusukuma guruduma la maendeleo nyuma Lakini nyie kuchwa kutwa kubweka kiukweli mnaleta mipasuko
Hili kanisa linapitia wakati mgumu sana mana Mama mwenyewe ht hajali
 
Nchi Iko swaaafi kabisa na ndo kwanza neema zinazidi kufunguka tu mafala nyie. Mlio kwenye laana ni wewe tu na mumeo. Mfumo hauwezi kuwachekea washenzi waliopangwa kuharibu Mali za umma, kujua askari wetu, kuharibu Mali za watu flani (kama mlivyowaelekeza) n.k

Wewe kwa kuwa ni mgonjwa wa akili, huwezi kuelewa chochote. Haya mambo waache wajadili watu wenye akili timamu.
 
Wakuu,

Akizungumza wakati anatoa Semina kwenye Mafungo ya WAWATA Jimbo Katoliki Bagamoyo, ambayo yaliyofanyika Jumamosi ya Tarehe 14/03/2026 katika Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria Padre Prosper Kessy wa Jimbo Kuu la Dar es salaam alisema kuwa kuna viongozi Serikalini wanakaa na siri nzito ambazo wangezitoa zingeleta ukombozi nchini

Suala la kutunza Siri ni jukumu la mtumishi wa Umma Kwa mujibu wa sheria.

Wewe Siri zenu za kina Papa Huwa unazitoa? Huyu anaongea kama mjinga
 
Hahahahaha!
Halafu wanaume kumshupalia mwanamke kiukweli haipendezi kabisa kiasili. Naona mijanaume ya kikatoliki imemkomalia Samia alfajiri, asubuhi, mchana, alasiri, jioni, usiku Hadi usiku wa manane........sijui ndo mishoga yenyewe hii?!!!!!
mwaiona ng’ondo?
 
Viongozi wa Katoliki Kwa kweli hichi mnachofanya Hakina afya kabisa Kwa taifa

Sisi kama watanzania tunatambua fika kabisa Uongozi huu na legit na tuna support ili kusukuma guruduma la maendeleo nyuma Lakini nyie kuchwa kutwa kubweka kiukweli mnaleta mipasuko
Unafurahia kinachoendelea kwa Lissu?
 
Back
Top Bottom