Padre na kisa cha mama wa mtoto

Padre na kisa cha mama wa mtoto

Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,459
Reaction score
3,375
Padre mmoja alikuwa kila siku jioni akitoka kanisani anapita chini ya mti wa mpera na anaangalia juu kisha na kumshukuru Mungu kwa siku husika ilivyoenda.

siku moja kama kawaida yake akafika chini ya ule mpera akaangalia juu na kuanza kusali...mara akamuona binti wa kike wa miaka kumi akiwa juu ya mpera huku hakuvaa pichu, akafumba macho akamwambia mtoto shuka ,akampa elf 5 ampelekee mama yake amnunulie pichu.


siku inayofata padri kama kawa akafika chini ya mti wa mpera na kuanza kusali..doooh...kule juu ya mpera yule mama wa mtoto alienda kukaa bila kuvaa pichu akidhani atapewa hela nyingi kwa vile yeye ni mkubwa,

padri akamwambia mama teremka, padri akatoa sarafu ya shiling 100, "mama ukanunue TOPAZ"..ameeenaaaa.
 
Back
Top Bottom