GE2025 Padre Kitima: Sipo tayari kusifia mtu kufunika maovu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima,
akizungumza Julai 8, 2025 na Jambo TV, Padri Kitima ameeleza kuhusu Viongozi kupenda kusifiwa na si kukosolewa ikiwa wajibu wao ni kutimiza mahitaji ya wananchi

Pia amesema kazi ya kanisa ni kuonya kuelekeza wema upi umeachwa ili utendwe na si kusifia kufunika maovu

"Ninasifia yanayostahili lakini maovu pia lazima tuyaonye, ndiyo kazi ya kanisa kuonya, kuelekeza wema upi umeachwa utendwe madhara yake ni makubwa lakini kusifia mtu ili kufunika maovu siko tayari, siwezi kusifia kufunika maovu yanayofanywa" alisema Padri Dkt. Charles Kitima

Soma pia:

Chanzo: JAMBO TV
 
Ngoja tapeli mwamposa akusikie
 
Back
Top Bottom