PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Fr. yupo sahihi. Jinai haiozi.

Ipo siku wajukuu wa Polepole, Mwangosi nk watauliza haya maswali kwa watawala watakaokuwepo. Inawezeakana mimi na wewe hatutakuwepo. Hata kwenye personal life, uchafu ni uchafu tuu. Lazima muhusika ulipe gharama. ni kanuni ya maisha.

Sijui kwa nini binadamu/especially Africans tunapenda shortcut kwenye maisha na kurithishana matatizo.
 
Mauaji yoyote hayafutiki. Ndiyo maana mpaka leo, tunaendelea kwa nyakati tofauti kukumbuka maujibyaliyofanywa na Hitler, Musolin, Stallin.

Kwa bahati, nchi yetu kabla ya utawala huu wa sasa, hakuna utawala uliowahi kufanya mauaji ya kutisha kama haya yaliyotokea. Amekuwa wa kwanza rais mwanamke, amekuwa wa kwanza kuua watu kwa maelfu, amekuwa wa kwanza kufuguliwa kesi ICC. Ni rekodi mbaya kabisa kwake mwenyewe, familia yake, uko wake, kwa Zanzibar na kwa taifa zima.
Ni muhimu sana kwa taifa, kutafakari kwa umakini mkubwa wa haya yaliyotokea ili kamwe yasitokee tena, wala kiongozi au wakuu wa vyombo vya ulinzi wenye kuruhusu haya, kamwe wasitokee tena.
Nchi imetiwa doa, familia zimepewa majeraha yasiyofutika, taifa limepakazwa damu, hii ni laana kubwa ambayo kama taifa tunatakiwa kuondokana nayo kwa hekima: kwanza kwa kuukiri uovu uliotokea, kisha kuujutia na hatimaye kuweka dhamira ya kutoruhusu utokee tena.
 
kama taifa hautuwezi kupoteza muda kukumbuka uzushi nonsense, uongo useless na poroja za walevi na mafuska wa madhabahuni kama huyu kitima.

Tunafanya kazi kwa bidii na tunasonga mbele kwa amani na umoja kama Taifa.
 
Kikubwa serikali imatusaidia kutoka kwa vibaka ,mkiwa wajinga mtakufa sana...Mauaji hayafutiki ila na nyie hamtorudia tena kuleta uvunjifu wa amani.
L
Lazima mpate kichapo kwanza ili mpate akili ,mngeleta naafa ya watu wasiokuwa na hatia.Zenji tangu wapigwe wametulia.

Kwa hilo ,naipongeza serikali...Hawa PhDs za kukusanya sadaka hawana hoja ,kwanza wameshindwa kufanya mapinduzi wanadaiwa pesa na mabeberu.
 
kama taifa hautuwezi kupoteza muda kukumbuka uzushi nonsense, uongo useless na poroja za walevi na mafuska wa madhabahuni kama huyu kitima.

Tunafanya kazi kwa bidii na tunasonga mbele kwa amani na umoja kama Taifa.
Wajinga hao ,wangechekewa wangeathiri mambo mengi..Mtu ana tumbo kama mfumo wa Rambo anachochea halafu limekaa huko kanisani.

Nafikiria hawatorudia tena.
 
Dola lazima iheshimiwe huwa haichezewi hata siku moja. Chezea ndevu za babu yako nyumbani kwenu usichezee dola.

Aliyewatuma vijana akiwaambia kwamba wafanye machafuko yenye nia ya kupindua nchi aliwaingiza chaka baya sana.

Wasingejifanya vichwa ngumu wasingeuwawa kwa kiasi kile, tarehe 9 na 25 desemba hakufa hata sisimizi, hakuna aliyetaka kutunishia misuli na serikali.
 
PUNGUZENI ROHO MBAYA, mnatuibia,mnatufisadi, mnatufunga, mnatuteka na mnatuua pia.

MWENYE NGUVU MPISHE, UZURI HATA WEWE FUTI 6 ZITAKUHUSU SO HAKUNA JIPYA HAPO.
MJITAHIDI TU KUFANYA YALIYO MEMA DOLA,PESA NI MYTH FOR SURVIVAL..
 
Wajinga hawa eti katoliki wana nguvu ,wamebaki kuimba taarabu...Wajinga sana hawa ; hawatorudia tena.

Watu wanavyopata tabu kwa zile vurugu mpaka maisha yalishaanza kuwa magumu ..Wajinga sana hawa viongozi wa upande wa kushoto kwa kujiona wanajua kila kitu.

Mtu anafanya uchochezi ,yeye ana tumbo kubwa hata kukimbia hawezi si akae mstari wa mbele tuone.
 
Etienne Davignon (93) mtuhumiwa wa mauaji ya Patrice Lumumba ya 1961 atapanda kizimbani muda wowote huko Ubeligiji mwaka huu wa 2026 ni baada ya miaka 65!!!
 
Naona Padri Kitima anawatafutia waovu sababu nyingine ya kufanya wampige na kitu kizito kichwani tena!

Ametukumbusha Padri kwamba Jinai haina mwisho, inaweza kufufuliwa hata baada ya miaka 60 ijayo

Makaburi ya wahusika yakapigwa pingu hadi kifungo chao kiishe
 
PUNGUZENI ROHO MBAYA, mnatuibia,mnatufisadi, mnatufunga, mnatuteka na mnatuua pia.

MWENYE NGUVU MPISHE, UZURI HATA WEWE FUTI 6 ZITAKUHUSU SO HAKUNA JIPYA HAPO.
MJITAHIDI TU KUFANYA YALIYO MEMA DOLA,PESA NI MYTH FOR SURVIVAL..
Chuki nyingi zinaletwa na habari za uchochezi ambazo asilimia 95 ni za kubuniwa na watu wanaoongozwa na ubaguzi ndani ya nafsi zao.

Chuki zikiwajaa vijana wanakuwa wale waliofanya vurugu October 29, walijazwa ujinga kwa miezi zaidi ya sita mfululizo walipoingia barabarani na kufanya zile vurugu ikawa muendelezo wa ubaya waliojaziwa vichwani mwao.
 
Hayati JPM aliwaambia wao na familia zao wakae mbele kabisa kwenye hayo maandamano.

Samia walimuona mwanamke wakajua hana uwezo wa kuwafanya lolote, kosa kubwa sana watalijutia mpaka siku yao ya mwisho duniani.
 
Siku nyingne huyo mpiga nyeto akiwatuma watu kwenda kutafuta katiba kwenye maduka ya simu awe anatangulia yeye, siyo kuwatanguliza vibaka

Taifa hili na amani yake ni kubwa kuliko hawa wapga nyeto wa kukusanya sadaka.

Mkileta ujinga tena hata leo jioni au kesho, mtashughulikiwa haraka sana bila kuangalia we ni mpga nyeto au la..

Lolote linatakiwa kufanyika hata kama ni watu kula misumari ili mradi tu taifa libaki salama. Nyie vibogoyo wachache hamuwezi ku override nchi.

Kuandamana ni haki ya msingi, hata mwaka 2024 chadomo mlifanya maandamano kanda zote nchi nzima, hakuna hata nzi aliyekufa..lakini mkaanza tena kukata watu vidole, mara mnaenda kutafuta tume huru kwenye mgahawa wa shilole..hapa mlitaka vyombo vya ulinzi viwaletee soseji?

Mkileta utecdema mtanyoroshwa tena ili muandike vizuri waraka kwenda umoja wa mataifa na ICC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…