Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,137
- 13,824
"CCM kuendelea kuiweka Madarakani ni kujilisha sumu mwilini mwisho itakuua mwenyewe"-Padre Baptist Mapunda
Wengi tunakufahamu ulivyokua unatoa mahubiri yenye kutufunza kudai haki zetu na kuikataa CCM awamu ile ya JK.
Sasa yale mahubiri yako ya awamu ile ndio yanahitajika sana awamu hii, maana hakuna tena kiongozi wa dini anayetoa mawaidha ya kuiweka sawa Serikali ili itende haki, wote wame-surrender tumebakia wakiwa.
Where are you? Sitaki kuamini kuwa na wewe ume surrender eti kwa sababu huyu wa sasa ni wa "Taasisi" yetu. Na sitaki kuamini kuwa mahubiri yale uliyokuwa unayatoa awamu ile ni kwa vile aliyekuwapo hakuwa wa "Taasisi" yetu.
Sema neno moja na roho yetu ipone.