OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,912
Hii habari ni ya kusimuliwa,Ukiamini Mungu unamuamini Padre kama mtu wa Mungu hawezi kukufanyia mabaya.
Unajiachia. Anakufunga goli. Unashangaa inawezekanaje Padre mtu wa Mungu kakufanyia hivyo.
Mwanamke anafunguliwa mpaka zipu katika maombi. Padre anaombea mbunye, anaishikashika. Mwanamke analegea. Padre anapitisha kitu.
Usipoamini habari za Mungu hata muda wa kwenda kumsikiliza Padre huna na hivyo hapati hata pa kukuanzia.
Alikuwa amekusudia kumtia baraka kitumbua chake"Kanisa utachomwa moto nakuapia"
Hahaha!!!!Alikuwa amekusudia kumtia baraka kitumbua chake
jifunze kuandika bwana!!!!Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .
Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.
Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.
Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.
Haieleweki kabisaNajaribu kuielew stori yako ingawa nimeshindwa kusoma.....ama sijui kusoma au maandishi yako shaghalabaghala
Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .
Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.
Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.
Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.
Mkuu namjua hata jina ni katoliki mkuuKwenye stori yako unajichanganya... umenifananisha PADRI WA KIKATOLIKI NA MCHUNGAJI WAMAKANISA YA KILOKOLE...
uliyemaanisha ni mchungaji (kiongozi wa kanisa wa kilokole na siyo padre mkuu)
Yote kwa yote pole sana ndugu hayo ndo madhara ya haya makanisa yetu yanayochipuka kama uyoga ndugu kuweni macho...
Yeye na mke wake watubu warudi catholic na si tutampokea
Mkuu jiongeze tu ww ni wakiume...piga chini chukua ingine ubonyeze raha za dunia kufa kwaja..kama una kabeki tatu hapo home kapandishe cheo japo kanyota kamoja kwanza.tega ugo niweke chuma,tega kigingi niweke jiwe...kamulia na limao humo humoHii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .