General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Jamaa yako uwezo wako wa kufikiri mdogo alitakiwa kutumia bodaboda akiwa amevalia helmeti mpaka awakamate sasa yeye anatumia gari.Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .
Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.
Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.
Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.
Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote akidhani wokovu wa bwana umeingia malangoni pake .
Sasa sikumoja jamaa akaingia tu machale baada ya kutoka kanisani mkewe akangangania kubaki kwamba anahudumu jamaa chapu akaazima gari ya rafiki na kurudi nayo muda mfupi gari ya padri ikatoka jamaa akiwa anafatilia akamuona mama watt akitoka kwa mguu akamfatilia hadi mtaa wa tatu hamadiiiii kakuta wife anaingia kwenye ile gari ya padre jamaa akashuka kulifata gari ,mara likaondoka kwa speed kali,jamaa kurudi kwenye gari hadi kuwasha washatokomea.
Kupigasimu simu ikapokelewa akamuuliza ukwapi akajibu nko njiani narudi,akahoji umefikia wapi simu ikakata na kuzima umbali kwa mguu hadi kwake ni dakika kama dakika 30 jamaa karudi home simu imezimwa 3 hours ,wife kuulizwa alikuwa wapi kajibu kwa dadake,na kimsimgi lazima ashapngwa.
Jamaa kampigi padre simu kumhoji kajibu mi nilikuwa sijui kama mke wako ,akmwambia anaomba asimwambie chochote mtu wayaongee ,Jamani hivi afnyaje nasema wife anaruka mita mia nne ht kupand gari tena mwanzo alojifanya ht hamjui kubanwa kasema huwa kama ananitaka hajantamkia,jamaa ni mkurya toka ikizu ,tarime nogopa hata kuonana na padre ataua,jamani afanyaje na wana watoto watatu.
Salamu kanisa wako mpendwa katika Bwana,"Kanisa utachomwa moto nakuapia"
Hakika umenielewa vyema..Salamu kanisa wako mpendwa katika Bwana,
katika wana ulitaka kufeli nami nazama,
tangu jana uwepo wapo haupingiki,
kisa una nguvu kuwavuta wasiosadiki,
Kanisa unatudanganya kirahisi,
Usinishushe hadhi nikizini ikiwa unafuga wachungaji wenye dhambi kama mimi,
Kanisa nakupa pole, nje msafi ndani mchafu, naomba tusinyosheane vidole.
DIZASTA VINA!
"Mungu aliye hai akuepushie shimo kanisa"Hakika umenielewa vyema..
"Kanisa nasikia unapande mbili za sarafu"
Umetisha kamanda wangu.
"Waumini dhaifu wanahama-hama kama wehu""Mungu aliye hai akuepushie shimo kanisa"
Sana mwana."Waumini dhaifu wanahama-hama kama wehu"
Sasa kutokuwepo kwa mungu kunahusiana vipi na hii maadaUkianza kwa kuelewa hakuna Mungu, unaepukana sana na vitatizo tatizo vya kujitakia kama hivi.
Tumefanya nini?Maskini wake zetu
Ukiamini Mungu unamuamini Padre kama mtu wa Mungu hawezi kukufanyia mabaya.Sasa kutokuwepo kwa mungu kunahusiana vipi na hii maada
Tumefanya nini?