Kudos padre Mapunda, umeongeza chachu ya mabadiliko, lakini umekosea kutoa kauli ya woga, kwa nini unajishuku utapigwa risasi!! kauli yako sio tishio kiasi cha watawala kuamua kukutoa uhai hata kidogo!! kama ni hilo basi kina mchungaji Christopher mtikila, Askofu Yuda Thadeus Ruwaichi, Cardinal Pengo, wanasiasa kama Mze Edwin Mtei, hayati Bob Makani Dr. slaa, Freeman Mbowe, JJMnyika, Tundu Lissu wa CDM au Luhaga Mpina, Deo Filikunjome, Mukono wa CCM ambao wanapingana na chama chao bayana na wengi wengineo, watu jasiri kama hao tungekuwa hatunao tena duniani!!
kifo cha CCM kimetabiliwa pia na Nabii TB Joshua wa Lagos Nigeria, maana yake ni kwamba CCM imeanza safari ya kuelekea kuzimu, hilo sio siri hata CCM wenyewe wanalijua lakini "a boer can not commit suicide" sio rahisi wao wenyewe kutupa taulo ulingoni ni lazima kuwe na external forces, ambayo ni wananchi walioamka na kuukataa kwa mioyo yao yote, ufisadi, rushwa, ubadhirifu wa mali zetu na dhambi nyingine kama hizo. the writing is on the big screen, take heart padre mapunda, "you are not alone"; gwiji la POP music Michael jackson liliimba!! If worse comes to worst; "they can may be kill the man BUT they can never kill the ideas" you may die but your ideas for change will outlive you and the mantle for change be taken up by the next generation. and that is the truism of life!
!