Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
Aisee! Unajua hadi mkataba ujao!Pacome bado yupo sana Yanga na anaingia Tanzania hivi karibuni na ataongeza mkataba wa miaka miwili kusalia Yanga.
Kuna wachezaji wamebakiza mwaka mmoja mmoja ila viongozi wameamua kukaa nao mezani ili kuwaongezea mkataba na pia kuwaboreshea maslahi, baadhi ya wachezaji hao ni Pacome, Diarra na Aucho. Au unataka kusema kuwa kuongeza mkataba ni lazima hadi mkataba uishe?Aisee! Unajua hadi mkataba ujao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee! Unajua hadi mkataba ujao!
Waambie Tu ukweli tabu bado iko palepaleKuna wachezaji wamebakiza mwaka mmoja mmoja ila viongozi wameamua kukaa nao mezani ili kuwaongezea mkataba na pia kuwaboreshea maslahi, baadhi ya wachezaji hao ni Pacome, Diarra na Aucho. Au unataka kusema kuwa kuongeza mkataba ni lazima hadi mkataba uishe?
Wilson Oruma yaani anaongoza kwa kuandika vitu vya kijinga tena wa wazi wazi yaani katika Chama cha Wachambuzi Wa Ovyo Tanzania ( CHAWAOTA) sijui yeye ni mwenyekiti au ni nani. Ila naona ana wadhifa mkubwa sana kwenye chama.Mtu una akili zako timamu unakaa kumsikiliza Wilson Oruma!
Aende wapi asee Hebu akitulize bana
Unaonekana Rohoni umeumia sana Pole MkuuHii habari umei copy kwa mchambuzi kanjanja anayejiita Wilson pasipo na wewe kutumia akili ukaileta hapa. Pacome bado yupo sana Yanga na anaingia Tanzania hivi karibuni na ataongeza mkataba wa miaka miwili kusalia Yanga. Poleni mnaotamani Yanga ianze na upya project
Kwa hiyo miwili mingine tayari, jumla mitatu sio?Kuna wachezaji wamebakiza mwaka mmoja mmoja ila viongozi wameamua kukaa nao mezani ili kuwaongezea mkataba na pia kuwaboreshea maslahi, baadhi ya wachezaji hao ni Pacome, Diarra na Aucho. Au unataka kusema kuwa kuongeza mkataba ni lazima hadi mkataba uishe?
Unaonekana rohoni umefurahia sana pole mkuu. Muda utatupa jibu kwenye hili.Unaonekana Rohoni umeumia sana Pole Mkuu
Maandano ya Mangungu yana endelea aje huko?Pacome mjanja anakwepa aibu🤣🤣