dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,881
- 2,091
Kwa masikitiko makubwa leo sisikii kipindi cha Pachanga hapa TBC FM 90.0 MHz (Dsm)
Pachanga ni kipindi kinachopiga miziki ya dansi ya ndani ya nchi yetu Tanzania na kimekua msaada mkubwa katika kukuza utamaduni wetu na kuthamini vya ndani.
Habari ambazo sijazithibitisha toka kwa mdau wa muziki wa dansi anasema kipindi kimefutwa. Kama haari hizo ni kweli BASI NI PIGO KUBWA KWA MUZIKI WA DANSI ambao kila siku unasemekana unakufa.
Nawaomba Dr. Ayubu Chacha Ryoba-Mkurugenzi TBC na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dr. Harisson John Mwakembe mlitazame tena swala la TBC kufuta kipindi cha Pachanga. Kipindi hiki sio cha kufutwa. Nina mashaka hata Cavacha (Kavasha) Time kinachokua Jumamosi saa 11 Alfajiri hadi saa 3 asubuhi NACHO KITAFUTWA maana hua kinaingiliwa sana na taarufa za habari za RFI KISWAHILI na TBC TAIFA mpaka utamu unapungua.
Tunawaomba rudisheni Pachanga Time TBC FM. Please!
Sent using Jamii Forums mobile app