Pacha wangu mcharuko

sasa hivi ni visa vya mapenzi au vya kimalaya??

kamuulize shangazi yako ilo swali afu next time jifunze kutumia mitandao ya kijamii sio unakurupuka tu na kupayuka.huna adabu kabisa wewe kama huwezi kuchangia mada kaa kimya na sio kutumia lugha zisizo na maadili.
 
muwe mnapiga threesome...........
au na nyie mtoke na pacha wa kiume...............
 
Mwambie una Virusi vya Ukimwi,, mpaka siku anaingia Kaburini hatakuibia tena Bwana.....
 
Yaaaani ninyi mna tabia kama za kwetu me Dotto yupo Kulwa wangu dah! ni shiiida....!!! kuna siku tulitaka kupigana tena home mpaka Mama akaingilia. hebu njoo PM tuonge zaidi pacha mwenzangu
 
Dawa yake ni kuwa na nyie na wapenzi (wote) mapacha.
Radha itakuwa ile ile!!

Hii kitu hata pacha wa kiume ni common. Wengi hupanga wenyewe kumgonga demu mmoja kwa kuchukulia advantage ya kushindwa kuwa tofautisha. Kuna Pacha mmoja nilimwazimisha daftari chuo, kulipata ilikuwa issue. Ukienda kwa huyu si mm, mwingine si mm. Bahati nzr walikuwa coz tofauti nika mvizia class nikambamba hadi hosteli akanipa.

Wanavaa sare, wananyoa sawa, sauti sawa, yaani ni mbinde kuwafahamu. Mademu zao walikuwa wanagongeana kila m2 akijua na hamna issue.
 
sio ivo, izo hesabu zako zinavuruga mada. hakuna x plus one hapo.nikimwachia huyo bwana hamtaki tena anataka tutumie bwana mmoja

Kwani kufikia leo una bwana wangapi ili tupunguze mmoja uwe mbele ya nduguyo kwa moja? ama keshamchukua na huyo?
 
Sasa si umuache nae ale mihogo,au unafikiri ataimaliza? mihogo haitaisha ila yeye ndio ataisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…