PAC yashtushwa na mtaji wa 150,000 wa mwekezaji Mlimani City


Namuona hapo Lusinde akiwa ameshika lisimu likubwa ndani ya Kamati ya Hesabu za Serikali PAC.Dah


Kumbe ndiye huyo?! Sikumjua kabla ya leo, ila hata usoni tu anaonekana wakujakuja sidhani kama anelwa chochote humo
 
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumegongwa Mno Ndugu Zangu
Vyovyote Mtakavyosema Nadhani Mmenielewa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…