Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,770
- 1,555
Wajinga ndio waliwao
kama ulivyo abunuas. mada inahusu cag ambaye ni mtumishi wa serikali na mahesabu ni ya trl ambayo iko chini ya serikali. sasa unapoingiza mbowe na hao wengine inamaana hujielewi. kwani mbowe ni waziri au naibu wa usafirishaji?au yeye anahusika vipi na madudu ya trl? gt hapishi mada bali anachangia mada kwa hoja mujarabu
Zitto ni Kichwa japokuwa mbowe na misukule yake kama lema haipendi. na huo ndo ukweli
Acheni ushabik wa kijinga ni makosa mangapi alioibua zitto? Sio zitto ni kamati ya PAC ambayo si zitto pekee.Ngoja bunge lianze ndo utajua MBOWE na LEMA ni misukule au wewe ndyo msukule?
ukali wako haubadilishi ukweli kuwa Zitto ni kichwa na hao akina mbowe-lema ni misukule tu. sorry!Zitto ni Kichwa japokuwa mbowe na misukule yake kama lema haipendi. na huo ndo ukweli
Acheni ushabik wa kijinga ni makosa mangapi alioibua zitto? Sio zitto ni kamati ya PAC ambayo si zitto pekee.Ngoja bunge lianze ndo utajua MBOWE na LEMA ni misukule au wewe ndyo msukule?
kaka natamani sana wakague mikataba ya Udom,nini kuogopa?maana kama ni tetesi tu za kutafunwa pesa zipo za kutosha sasa tutathibitishia wapi mkuu??Kaka wala hauogopi unasema tu hayo nyamaza ila acha uoga kabisa utashangaaa sana yaani duh