PAC, Magari yaliyoyeyuka TANTRADE yako wapi?

PAC, Magari yaliyoyeyuka TANTRADE yako wapi?

MATATIZO SABA

Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
8
Reaction score
4
Wakati kamati ya hesabu za serikali PAC ikiwahoji mwenyekiti wa bodi na mkurugenzi wa tantrade ilitoa masaa 48 watumishi hao kuleta kadi za magari 9 na pikipiki 12 zilizopotea. Nashangaa hadi leo kamati iko kimya na hatujajua magari hayo yako wapi naombeni msaada na mbona hili limekaliwa kimya.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom