Utata bado upo bungeni,jibu halisi pesa za escrow ni za umma au iptl bado kizungumtuti,kila mmoja ana tafsiri kivyake. sababu inanifanya niamini imeshindwa kazi:-
1. Kwa nini haimkurudishia CAG ripoti iweke wazi pesa ni za nani,sio inaonyesha ni za umma,aseme direct za umma.
2. Imeelezea kuchukuliwa pesa benki moja tu ya Mkombozi,vipi wa Stanbic inafichwa?