PAC imeshwindwa kazi iliyopewa CAG hajatenguwa kitandawili

Ngoshanyi

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
2,449
683
Utata bado upo bungeni,jibu halisi pesa za escrow ni za umma au iptl bado kizungumtuti,kila mmoja ana tafsiri kivyake. sababu inanifanya niamini imeshindwa kazi:-

1. Kwa nini haimkurudishia CAG ripoti iweke wazi pesa ni za nani,sio inaonyesha ni za umma,aseme direct za umma.
2. Imeelezea kuchukuliwa pesa benki moja tu ya Mkombozi,vipi wa Stanbic inafichwa?
 
Waziri Mkuu ndiye mwenye makosa, kumbuka serikali ndiyo iliyompa hadidu rejea, kwa nini haikumwambia abainishe kama fedha hizi ni za UMMA au si za UMMA? ilitaka kuficha nini hapa?
 
Sasa watu wanakubali ukweli kuwa kazi haikutoa majibu,sasa kwanini PAC wadai tena kwa uhakika kuwa pesa za umma zimeibiwa wakati ripoti ya CAG haikuweka wazi kwamba ni pesa za umma?.
kwanini kama sio interest za watu zimeingia hapa,wanataka kuvunja serikali kwa ripoti ambayo haikukamilika?.
au ndo tuseme kuna ushawishi wa magroup fulani yame influence maamuzi ya PAC?
 
kamati ya bunge ilitakiwa iwe na majibu,ndio maana nasema ripoti haina maana,imekuwa ya ujanjaujanja tu,kwa sababu kuna mambo ya kujiuliza hapa Tanesco imenunua umeme Iptl,imelipia? kama haijalipiwa ni bei gani? tufanye hesabu hapa kwanza tujue kisha tutoe za escrow,tukipata - (minus) kwa yeyote ndio mdaiwa na hapo tutajua serikali imepata hasara au la? ripoti tatu zinaconfuse watu, hata hiyo ya rushwa kwa nin pccb haikutoa ripoti ya stanbic. sasa kama waziri mkuu hakusema basi bunge lirudishe hiyo ripoti ya cag ije na majibu
Waziri Mkuu ndiye
mwenye makosa, kumbuka serikali ndiyo iliyompa hadidu rejea, kwa nini
haikumwambia abainishe kama fedha hizi ni za UMMA au si za UMMA? ilitaka
kuficha nini hapa?
 
Hoja hii imekwisha tangu jana muhongo aliweka wazi kila kitu hoja ilikwisha zingine siasa ndiyo zinazoendelea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom