Mkuu mpaka kijasho kinanitoka kwa hio bei kama ngapi itanigjarimuMkuu kwa haraka haraka andaa bati 72 za 3mtrs ila uwe mvumilivu kwa zitakatwakatwa sana hapo zitakazo ingia bila kukatwa ni bati 9. tuu!!!
Bwa sheh sasa hapo kidogo sijakuelewa kuhusu bati kwa hio ziwe futi 10 na piec 150?!bwa shelh ndo nimesha ingia choo cha kike nisha jengaBwashe huu mzigo ni wa bati 150 za futi 10. Kama ni ramani tu, nashauri ubadilishe ila Kama umeshajenga, vumilia.