P-Square

224Nassah

Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
37
Reaction score
2
Watanzania kweli wamezaliwa nao,maana mtu yupo radhi kesho ashinde njaa siku nzima kisa kuwaona P-Square!!!
 
Habari iliyoko kwenye hiyo link imejaa neno ' kuweza'. eg Diamond aliweza kuzomewa kwa uvaaji wake. Namhitaji mwandishi wa hiyo habari nimfundishe Kiswahili.

Wafuze hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…