Mi nimesema from experience ya watu wa karibu yangu.
Kuna vitoto tunavisaidia kumaliza addiction,
lazima tuzijue, tuzitambue pros and cons kabla ya kuwashahuri
Inanikumbusha wakati huo nachoma kuna jamaa mmoja alikua ananiuzia sijui ni marehemu alikua anajiita BOB MAZISHI! Alikua anapatikana maeneo ya Sanawari hapa Arusha!
nilivuta pafu za kufa mtu alafu washkaji wakanidanganya nizumulie na fegi . Hakyanani nilijua ndio nimekuwa kichaa flat out . Duh nikikumbuka nachekaga mwenyewe.
TOSH anakwambiaaa legalize it...bob anakwambi kayaa man...culture say marijuana..i & i call it meditation,green grass direct from GOD.MOST WANTED GRASS