Oyee mambo bambam

Oyee mambo bambam

Haya ni manyoka gani ya kijani a.k.a usale??
 
Hizo rangi huwa napata ujasiri wa kuziangalia zikiwa zinatumiwa na dar young africans na brazil tu. zaidi ya hapo nachefuka na kukumbuka jinsi twiga wetu alama ya taifa alivyopakiwa kwenye fastjet na kwenda ulaya na arabuni. shame on em
 
watu waccm bwana ingekuwa chadema hapo wangetoa maelezo mazuuri sana sasa wewe umeeka piha nakukimbia halafu unataka sisi tusionachama tujiunge na chama chako! ACHENI UJINGA VIJANA WA NAPE!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom