Fainali ni lini?Hao wafaransa tutaishi nao kimkakati na ndoo tunabeba
Fainali ni lini?
Chelsea sio thiimba
Real Madrid pigwa Chuma 4 kwa O DembaNaona Kylian Mbappe ana zidi tu kupishana na Gari la mishahara.
Ndio maana nikasema kua,Mbappe aliondoka PSG kwenda Madrid kwa matumaini ya kupata vikombe huko,ila ni kama kapishana na Gari la mishahara.Real Madrid pigwa Chuma 4 kwa O Demba
Walete jezi kali sasaNaona Jezi za PSG zinaenda kuvaliwa na warembo balaa, sasa Jezi za Palmeiras zitapumzika naona Oda zishaanza kuwekwa
Anajilaumu sasa Real Madrid katua Bundi soon dogo atakimbia maana sasa wanaowika ni dogo wa Barca Lamine YamalNdio maana nikasema kua,Mbappe aliondoka PSG kwenda Madrid kwa matumaini ya kupata vikombe huko,ila ni kama kapishana na Gari la mishahara.
Zipo Jikoni zinakuja zaidi ya zile za Palmeiras subiri naona warembo kibao wameweka Oda wanataka Jezi za PSGWalete jezi kali sasa
Aisee dogo ana bahati mbaya, timu aliyotoka imekuwa ya Moto aliyokwenda imekuwa makande dahNaona Kylian Mbappe ana zidi tu kupishana na Gari la mishahara.
Mtapigwa 6😂🙌Hawa PSG wanapeleka sana moto
Nawashauri vitoto vya Chelsea na Babu yao wasiingize timu watapigwa Kono la nyani
View attachment 3399875