hivi wanaume wanashindanaga kama mamiss? sijui sijawahi kusikia...ivi kuna Mr Tanzania? au..sielewi?
Ama basi, uzee huu?
CC Asprin akiwa kanisani, King'asti, Baba V (kwa taarifa) KOKUTONA Heaven on Earth

nina undugu naeutakuwa mdogo wake osama wewe c bure!! Hahaha!
Mwambie nitampatia matibabu mujarab Mwanza!
Mwalimu anaumawa mafua maakali anahitaji matibabu yako ya haraka sana.
CC. Arabela, Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone
Mafua ugonjwa wa mapenzi niambie nani kakuambukiza kwanza ndiyo nikwambie dawa tehe tehe.
Mwalimu yupi wanayemzungumzia waambie mimi sina mchezo nitafanya kweli. Filipo nakwambia surrender mapema kabla sijalenga two two two usawa wa kichwa.
Sasa km hata mwalimu anayezungumziwa humjui Mzee wa Rula hizo Two two utazilengaaajeeeee
Cc Filipo. Kaizer