Haupo peke yako mkuu. Mwezi huu nimepigwa chini na mademu wawili kwa mkupuo. Tukaze tu kutafuta chambichambi hamna namna nyingine zaidi ya kukubaliana na uhalisia😔😔😔😔
Hujielewi hujakua bado, mwanaume aliyejiandaa na majukumu ya mahusiano hawezi ongea oya, jitakari kwa nini umeachwa akili yako haijakomaa na huna hela. Shangazi said