Ovulation Test

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,551
1,776
Habar wakuu, katika pitapita zangu leo nimesikia watu wakizunguazia kipimo kinaitwa Ovulation Test, kwa vile siwajui na sikuwa na muda nikaona nilite hapa wataalamu wanieleweshe kinafanya kazi vipi, na majibu yake yana ukweli kiasi gani.
 
Back
Top Bottom