Oven ya kuoka mikate

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
70
Habari wana JF,
Mimi nimeanzisha bakery yangu, kwa sasa nina oven ndogo tu,kuna mtu anaweza kunifahamisha wapi naweza pata oven ya kuokea mikate ambayo itakuwa na uwezo wa kuoka hata mikate 100 kwa wakati mmoja ambayo ni ya bei nafuu, hata kama ni used, naomba maoni yenu.(wanaohitaji mikate na keki,kwa jumla karibuni)
 
Kama huna issue na bidhaa za China, ingia mtandao wa alibaba dot com utapata hata oven mpya kadiri ya bajeti yako.
 
Habari wana JF,Mimi nimeanzisha bakery yangu, kwa sasa nina oven ndogo tu,kuna mtu anaweza kunifahamisha wapi naweza pata oven ya kuokea mikate ambayo itakuwa na uwezo wa kuoka hata mikate 100 kwa wakati mmoja ambayo ni ya bei nafuu, hata kama ni used, naomba maoni yenu.(wanaohitaji mikate na keki,kwa jumla karibuni)
Ninazo oven mbili,moja ya kurotate na nyingine ya deck,nipigie 0715367367
 
Subiri maonesho ya sabasa,kuna wakenya na wengine kila mwaka wanashiriki
usikose
 
Back
Top Bottom