Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
hakukuwa na haja ya independence day tz coz tz walipewa uhuru hawakupigania.unlike kenya
Tulitumia akili sio misuli. Being civilised Is inherent with us, can't say the same about our neighbours
hakukuwa na haja ya independence day tz coz tz walipewa uhuru hawakupigania.unlike kenya
This is the most tasteless comment I have ever read on JF.!!!
mchambawima1
Baada ya juhudi kubwa za kumhujumu na kuingilia siasa zetu kwa ku-bankroll kampeni ya Lowassa, naona Kagame anajipendekeza sasa kwa Magufuli. Kishatambua kuwa Magufuli si wa kucheza nae. Bora hata Jakaya Kikwete alikuwa mstahamilivu. Ila ajue Magufuli hasahau! Sidhani kama itakuwa rahisi kihivyo to amend things!
I like your addition.
I also don't see the LIKE button
Hiyo kauli mbiu ya Magufuli ya "hapa kazi tu", raisi wetu Kagame anayo tangu achukue madaraka.
Are you not talking of Sokoinenasation of Rwanda?
We have been around for a long time and Kagame is our baby
Uhuru! Uhuru gani wa nchi (Tanganyika) ambayo haipo kwenye ramani ya dunia!...kwa hiyo tuliopewa uhuru hatuko huru?
hakukuwa na haja ya independence day tz coz tz walipewa uhuru hawakupigania.unlike kenya
Uhuru! Uhuru gani wa nchi (Tanganyika) ambayo haipo kwenye ramani ya dunia!...
Unasherehekeaje birthday ya kiumbe ambaye alikwishakufa tangu 26/03/1964?...
Uchaguzi ndio ulivyo.Kama wagombea wawili wanaonekana kwamba nguvu zao ni sawa,people will toss a coin and decide which side to support. Kwa hiyo hakuna sababu ya kulipiza kisasi. Mimi pia lilikuwa undecided . Undecided so much kiasi kwamba sikupiga kura.
And this article is pathetic to say the least. I won't even waste time discussing It.
Tulitumia akili sio misuli. Being civilised Is inherent with us, can't say the same about our neighbours
Magufuli will never fight vita yako na mbwa wenzako wa interahamwe,mngekuwa na losing chance kama Mtikila (RIP) angekuwa raisi
Akili my azz and seems hujui Historia wewe hata watoto wadogo humu wanakushinda kaa kimya na umbulula wako
This is the most stupid comment jf..Rwanda inaprosper chini ya Kagame,hii habari inajaribu kuoanisha matendo ya Magufuli baada ya kuapishwa na sera za Kagame zinazoisaidia Rwanda,wewe unaleta mambo ya Lowassa na kujitapa na kutokusahau kwa Magufuli...ikitokea vita ni kwa faida ya nani?unaichukulia Rwanda easy sana in temrs ya military power? and by the way hata kama je effect zitaacha kutuathiri? Akili yako inawaza vita ya maneno kati ya PK na JK wenzako wanawaza maendeleo.
Kagame hana pesa ya ku bankroll kampeni za Ukawamchambawima1