Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Nov 15, 2017 #1 Kwanini inatokea wakati outlook inashindwa kutuma mail na the same mail inaenda kwa Gmail...yaani unakuta outlook inakuambia mail undelivarable!
Kwanini inatokea wakati outlook inashindwa kutuma mail na the same mail inaenda kwa Gmail...yaani unakuta outlook inakuambia mail undelivarable!
NEMEZIZ JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 563 Reaction score 337 Nov 16, 2017 #2 Achana nao hao mi nilikuwa natumia outlook ila sasa mpka juzi email yangu imebuma na kila nikitaka kuirecover nashindwa na ni long process
Achana nao hao mi nilikuwa natumia outlook ila sasa mpka juzi email yangu imebuma na kila nikitaka kuirecover nashindwa na ni long process
Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 8,025 Reaction score 8,812 Nov 17, 2017 #3 outlook ndo nini na inafaida gani kulingana na email ya kawaida
YALE JF-Expert Member Joined Apr 20, 2017 Posts 308 Reaction score 379 Nov 17, 2017 #4 zithromax said: outlook ndo nini na inafaida gani kulingana na email ya kawaida Click to expand... Outlook ni Email pia Iko under Microsoft wapo live,Hotmail na outlook
zithromax said: outlook ndo nini na inafaida gani kulingana na email ya kawaida Click to expand... Outlook ni Email pia Iko under Microsoft wapo live,Hotmail na outlook
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,773 Reaction score 126,714 Nov 17, 2017 #5 TheMason said: Kwanini inatokea wakati outlook inashindwa kutuma mail na the same mail inaenda kwa Gmail...yaani unakuta outlook inakuambia mail undelivarable! Click to expand... Yangu ipo poa. Inafanya kazi kama kawaida AbraDaVinci said: Achana nao hao mi nilikuwa natumia outlook ila sasa mpka juzi email yangu imebuma na kila nikitaka kuirecover nashindwa na ni long process Click to expand...
TheMason said: Kwanini inatokea wakati outlook inashindwa kutuma mail na the same mail inaenda kwa Gmail...yaani unakuta outlook inakuambia mail undelivarable! Click to expand... Yangu ipo poa. Inafanya kazi kama kawaida AbraDaVinci said: Achana nao hao mi nilikuwa natumia outlook ila sasa mpka juzi email yangu imebuma na kila nikitaka kuirecover nashindwa na ni long process Click to expand...