Out iliyonipa majuto mwana MMU mwenzangu ungefanyaje?

Out iliyonipa majuto mwana MMU mwenzangu ungefanyaje?

hapo ulitakiwa kuwa shujaa wake kwa jambo lolote hata iwe kifo!

kama ningekuwa ni mimi, hakika ningemwambia... '' I WILL BE YOUR HERO BABY...! I WILL STAY BY YOU FOREVER.. YOU WILL TAKE MY BREATH AWAY.. TONIGHT!!



Halafu baada ya kupata fahamu tu, ningemalizia na huu wa pharrel williams!

happy!



siku yangu ingekuwa imeisha kwa amani sana...!


Natamani ungekuwa mwanaume ukaface hii situation. Mwenzio nyeg* zote ziliniisha
 
Last edited by a moderator:
Mi siyo kaka ndugu mi ni Dada duhh hata picha ndugu hujaona mweeeeh haya pole
 
Haaaaha kweli hazipo kwa sasa ulizani unaigiza movie???
 
Natamani ungekuwa mwanaume ukaface hii situation. Mwenzio nyeg* zote ziliniisha

hivi kila mtu wamuona mwanamke humu?

ama kweli you are crazy in love..
 
Last edited by a moderator:
kuwa mkweli umepiga kavu nakama kavu basi kuna kitu cha mimba.
Ni moja ya dalili

Siwezi kukubishia mwana jamvi mwenzangu, kwa kuwa biology yangu imeishia undergraduate tu. Kwa hiyo mating ni leo, fertilization ni leo hadi physiological changes ni leo leo on the spot?
 
hivi kila mtu wamuona mwanamke humu?

ama kweli you are crazy in love..


Naomba nisamehe bure kabisa, nahisi bado nimevurugwa. Kumbe wewe ni me, am so sorry!
 
Last edited by a moderator:
Ni matumaini yangu baada ya hali kurudi normal uligonga show nyengine.
 
Daah, kama sikosei ni 20's. Simaanishi miaka 20 kamili lakini, nimezidi hiyo. Akili yangu ikitulia nitaupdate age hapa

kijana hauko serious......

hebu tafuta sehemu ya kulala kwanza, hangover ikiisha, urudi JF kusoma ulichoshauriwa....

next time ufanye medical check up na mwanamke unaetaka kutoka nae for your own safety and security...
 
Ningepiga simu ambulance ije imfate papo hapo...umekosea sana yaani wafikiria maslahi yako kwao watakufikiriaje kuliko uhai wa huyo binti???hujui maisha yake yalikuwa mikononi mwako yaani angekufia huyo na sidhani ka ungejisamehe!!hukutumia busara kabisa kama great thinker!!

Eti Ambulance? Dude u watch so many movies..calling 911...Ambulance ije.....????
 
Wanasema "ingekua kesi juu ya kesi kama kuvunja chaga guest"
 
Back
Top Bottom