Utawapa wewe posho?Mkirudi bungeni mtawasaliti watanzania...lisifanyike swala la kama lile ''kumtambua na kutomtambua rais -paradox''..Mkijua wazi Slaa alishindaKatiba mpya ndiyo suluhisho..kinyume na hapo ni siasa tu,
HAKI inatafutwa haiombwi..haibembelezeki..be part of new Tanzania
Watanzania wako nyuma yenu.
Freedom is coming today!
Ngoja shibuda na Sugu wakusikie.hawako pale kwa ajili ya posho wewe!
Freedom is coming this soon!!!!! People's Power!!! Tutashinda tu!''kumtambua na kutomtambua rais -paradox''..Mkijua wazi Slaa alishindaKatiba mpya ndiyo suluhisho..kinyume na hapo ni siasa tu,
HAKI inatafutwa haiombwi..haibembelezeki..be part of new Tanzania
Watanzania wako nyuma yenu.
Freedom is coming today!
lakini mkuu umekuwa uko mbali na idea zao'unataka kutuambia sasa hivi unawaunga mkono?
wamerudi???
Ndio mkuu wamerudi wanasema eti hawezi kumuachia nguruwe shamba..
Halafu hawa hawa ndio wanataka kuwaingiza watanzania kwenye maandamano!
pathetic fool!!!ha! Ha! Ha! Wametoka tena lakini watarudi baadae kusaini posho zao!
Wamekwenda kunywa chai