Our National Pride | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Our National Pride

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Feb 19, 2011.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi mmeona majeruhi wa maboomu walivyolala chini Muhimbili na Amana?

  Je mmeona madaktari wanawatibu huku hawajavaa gloves?

  Je mmeona wakimbizi au tuwaite IDP (internally displaced People ) uwanja wa Taifa?

  Mmmeona coordination ya misaada ilivyo kanganyika?

  Mmeona coordination ya habari ilivyo ovyo?

  This says alot about our political system ilivyooza

  Websites za redcross,ikulu(blog),waziri mkuu, PDDF, Mkoa wa Dar, Meya , Polisi hazitupatii any accurate news I wonder kama dissaster ingekuwa kubwa zaidi ya hii hali ingekuwaje?

  Kinachoniuma ni kila mwezi our NATIONAL PRIDE inashuka kwa sababu no one wants to take responsibility and no one cares about the working class

  Sasa kuna watu wako nje ya nchi wanataka kusaidia lakini hakuna coordination ya kufanya malipo online kwa sababu hatuna DISASTER EMERGENCY COMMITTEE ambayo ni effective...ambayo ilitakiwa iwe na face book page na mengineyo ili kufanya wepesi watu waliopo nje kusaidia kwa wepesi.

  Chama cha waandishi wa habari walitakiwa waorganise something faster online lakini wapii wako bize na mipira!

  Lakini more importantly this is not THE END...,ore will come na CITY PLANNERS ndio wakulaumiwa kwa sababu DAR now is like a TIME BOMB na najua by 100% watakao dhurika zaidi ni watu wenye hali ya chini
   
 2. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Our national pride ni mlolongo wa majanga, maana taifa limetolewa kafara kwa mashetani-mkuu wa nchi kulindwa na majini ya sheikh!!!!! Uchuro!!!!!!!!!!! Mpaka taifa limgeulie Mungu; kabla ya hapo tutaona mengi ya kutisha!!!!! maana shetani kazi yake ni kuchinja na kuua!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...