Joksa Member Joined May 4, 2016 Posts 15 Reaction score 7 Mar 23, 2017 #1 Naomba kuuliza ivi tatizo la Mh Nape kutenguliwa nini ni? Tunaelekea wapi kama taifa?
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,378 Mar 23, 2017 #2 Baba wa mtoto mpendwa kachukia mwanawe kuandamwaandamwa na maripoti na mapendekezo..........
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,896 Mar 23, 2017 #3 Nyumbani kwanza
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,248 Mar 23, 2017 #4 Hahaha hii ndiyo Tanzania kaka
themanhimself176 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 1,836 Reaction score 2,924 Mar 23, 2017 #5 Tunaelekea kuzimu mkuu hakuna namna
damian marijani JF-Expert Member Joined Jan 31, 2010 Posts 695 Reaction score 466 Mar 23, 2017 #6 Naona mkulu aliona kuwa kiti kimempwelepweta hivyo akaona ni heri aweke mtu wa size ya hicho kiti.
Joksa Member Joined May 4, 2016 Posts 15 Reaction score 7 Mar 23, 2017 Thread starter #7 Naumia sana kuona viongozi wazuri wanapotenguliwa pasipo haki, Nijuzi tu Mkurugenzi wa Tanesco ametenguli pasipo n.a. hoja zenye mashiko. Mungu atusaidia sioni mwisho mzuri wa Viongozi wetu wajuu
Naumia sana kuona viongozi wazuri wanapotenguliwa pasipo haki, Nijuzi tu Mkurugenzi wa Tanesco ametenguli pasipo n.a. hoja zenye mashiko. Mungu atusaidia sioni mwisho mzuri wa Viongozi wetu wajuu
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 Mar 23, 2017 #8 Jamani alishasema alienda kuchukua form mwenyewe Miii ngoja nifanye kazi tu niingize ela nsije nkashinda njaa bure maana ndo ishatokea
Jamani alishasema alienda kuchukua form mwenyewe Miii ngoja nifanye kazi tu niingize ela nsije nkashinda njaa bure maana ndo ishatokea
LAMOLAMO JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 246 Reaction score 228 Mar 23, 2017 #9 duh...hata nape?
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Mar 23, 2017 #10 Joksa said: Naomba kuuliza ivi tatizo la Mh Nape kutenguliwa nini ni? Tunaelekea wapi kama taifa? Click to expand... Ninabaki nashangaa... Sasa Bashe nae si waziri watamfukuza uanachama? maana huyu nae moto wa kuotea mbali! Namwaminia Mh. Nape (Mbunge) sasa wamempa mwanya wa kumwaga sumu.. Wakumuulize Mh. Lowasa enzi hizo.
Joksa said: Naomba kuuliza ivi tatizo la Mh Nape kutenguliwa nini ni? Tunaelekea wapi kama taifa? Click to expand... Ninabaki nashangaa... Sasa Bashe nae si waziri watamfukuza uanachama? maana huyu nae moto wa kuotea mbali! Namwaminia Mh. Nape (Mbunge) sasa wamempa mwanya wa kumwaga sumu.. Wakumuulize Mh. Lowasa enzi hizo.
Joksa Member Joined May 4, 2016 Posts 15 Reaction score 7 Mar 23, 2017 Thread starter #11 Tunapaswa kupaza sauti pale tunapoona viongozi wetu wanaenda tofauti