Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,938
- 2,356
Ndiyo.Ukisoma hasa Historia, unakutana nayo hiyo.Ni kati ya ngome zilizotikisa dunia kama unavyoona Roma(Urumi), Mesopotamia n.k.Ulikua ukiijua hii dola kabla ya kuangalia Sultan?
Ndiyo.Ukisoma hasa Historia, unakutana nayo hiyo.Ni kati ya ngome zilizotikisa dunia kama unavyoona Roma(Urumi), Mesopotamia n.k.Ulikua ukiijua hii dola kabla ya kuangalia Sultan?
Maelezo haya yanashawishi kuona kwanini wanafanya wanachofanya.Kenye hiyo documentary niliyotazama mimi kuna ma professor wanakuwa wanachambua nadhani kama umetazama documentary unaelewa kunakuwaga na watu wanachambua, sasa mmoja anasema tofauti na wengine Uzban nadhani nimepatia jina ambaye ndiye mwanzilishi wa Ottoman empire kwanza hakuwa na lengo la kusambaza Uislam ila aliunda jeshi la kujilinda dhidi ya kabila falni ambalo lilikuwa linawatishia amani ambapo wao walikuwa wakivamia kijiji wanaua kila mtu na kubeba kila kitu.
Sasa yeye akaanzisha jeshi la kujilinda alianza na watu wachache na baadae watu wakamkubari kama kiongozi na watu wengine wakawa wanajiunga kwa hiari kwakuwa habari zilisambaa kwamba ukienda kwenye mapigano ukiwa na Uzban mnashinda. Na jambo lingine ni kwamba alipoanza vamia maadui zake alipokuwa akishinda wakapata mali alikuwa anazigawana kwa usawa na wenzake hivyo wakajiunga wengi kama njia ya kujipatia kipato.
Baadae akaanza kutumia dini kama njia ya kuwaunganisha na kuwa jeshi lenye nguvu zaidi na wanadai kabla ya hapo kuna watu ambao hawakuwa Waislamu walikuwa wamejiunga kwa hiari kwenye jeshi lake.
Pia walichukua mila na tamaduni zao wakazifungaminisha na dini mfano kuna ile style Waturuki wanakuwa wamevaa nguo nyeupe wanacheza kwa kuzunguka kumbe ile ni mojawapo ya njia ya kuabudu kwa kuimba walikuwa wanadai kuwa kwa njia ile nafsi inatengana na mwili unakuwa katika hali ya kuabudu bila mawazo kuhama.
Huyu inaelekea haya mambo kayajua kwenye tamthlia nimeshangaa sana kusikia kwamba anauliza kama ottoman empire niliifahamu kabla ya tamthliaNdiyo.Ukisoma hasa Historia, unakutana nayo hiyo.Ni kati ya ngome zilizotikisa dunia kama unavyoona Roma(Urumi), Mesopotamia n.k.
Huyu inaelekea haya mambo kayajua kwenye tamthlia nimeshangaa sana kusikia kwamba anauliza kama ottoman empire niliifahamu kabla ya tamthlia
Sure mkuu itabidi nirudi Azam soon, maana nilikuwa nimehama kwa muda ila itabidi nirudi kuna channels zangu nazipenda Azam, IDx, Discovery Channel, Geographic, Aljazeera, na kama ataleta ya historia itanifaa sanaSi nilisema huko awali kuwa watanzania mambo kama haya hawana time.Weka mada ya Amber Rutty hapo uone.Au tunga stori ya ngono uone itakavyopata uchangiaji.
Mimi leo Azam wametoa taarifa kuwa Channel ya History itaanza kupatikana kwenye king'amuzi chao, kwangu ni bonge la faraja.Maana nitapata mambo hayo na mengine mengi tu.Mengi tulijifunza vitabuni sasa unapata uhalisia, mfano, kupata historia ya kina Hitler na vita za dunia.Kwangu nafaidi sana.
Sijawahi tazama hiyo tamthlia ya the sultan coz sina kingámuzi cha azam. Ottoman empire nimeijua zaman sana tangu niko primary more than 15 years ago. Nashangaa kusikia we umeijua kupitia the Sultan kwanza hata hiyo the Sultan sikujua kama inaongela Ottoman empire nilihis ni tamthlia ya kufikirika. Kuna tawala ambazo kama mpenzi wa historia lazima uzijue, Ottoman Empire, Persia, Roman empire, Utawala wa mapharao, China na utawala wa Kublai Khani.
Unlike you mimi ni mtu ninayetazama documentaries sana kuliko hata movie na nikitazama movie ambayo ina historical fact lazima nikaitafte fact niisome kiuhalisia. Mfano kuna movie inaitwa 300 spartans kama umeishaitazama, unajua kwamba yule mtawala anyeonyeshwa mle kama the God King ndiye alikuwa mume wake Esta wa kwenye bible alikuwa mtawala wa Persia?[/QUOTsafi sana nimekukubali sana