Kuwa huru.Kama kitu au ujumbe haujaupenda unasema.Asikupangie mtu.Ahsante ila nishaifuta comment kuna kanambia niwe na hekima na nimemuelewa,na namshukuru.
Kwani hoja hujibiwa kwa hoja na si kebehi,naombeni mniwie radhi
Kwa hiyo tamthilia ya Sultan unayoiangalia Azam Two ndio Documentary?Jana nimetazama documentary flani inayohusiana na dola iliyowahi kuwa kubwa sana dola ya Ottoman ambayo ilianza kama kabila dogo la wafugaji ikakua na kuwa dola moja kubwa ambayo mpaka leo ushawishi wake na alama zake ziko wazi.
Katika mambo ya kustaajabisha niliyo yaona ni kwamba mrithi wa kiti cha ufalme ilikuwa anawaua ndugu zake wote pindi anaposhika kiti cha ufalme ili kuzuia mvutano na kugombea madaraka.
Kuna kipindi mmoja aliua ndugu zake 19 ambapo japo ulikuwa ni utamaduni uliokwisha zoeleka ila watu wengi walisikitaka baada ya kuona majeneza 19 yakitolewa kwenye kasri ya kifalme asubuhi kuashiria kwamba mrithi kateketeza ndugu zake 19 akiwemo watoto wadogo kabisa.
Jambo lingine lilinifurahisha ni kwamba mfalme alikuwa haoi ila alikuwa na vimada ambapo angeweza kuwa na vimada hata 1,000 ambao walikuwa wanachaguliwa kutoka kwenye watumwa ambao ni mabikra na warembo lakini kati ya hao wote ni wachache walikuwa wanapata anfasi ya kulala na mfalme. Na pia mfalme alipokuwa akimjaza mimba kimada basi hafanyi naye mapenzi tena yani utamaduni wao ulikuwa ni kwamba mfalme haruhusiwi kuzaa na mwanamke mmoja watoto wa kiume zaidi ya mmoja hivyo kila Prince alikuwa na mama yake.
Huu utamaduni alikuja kuuondoa mfalme mmoja baada ya kulala na mtumwa mmoja kutoka syria akampenda na kuzaa naye watoto sita na kuamua kumuoa kabisa, jambo ambalo liliwafanya watu waamini huyo mtumwa alikuwa anatumia miziziology kwakuwa hakuwa mrembo kama wengine lakini mfalme alikuwa hachomoi kwake.
Jambo lingine ambalo lilinivutia ni kwamba utawala wa Ottoman ulipokuwa ukichukua miji na nchi walikuwa hawaui Wakristo wala kuwatesa walikuwa wanawaruhusu kuendelea na imani zao. Mfano baada ya kushinda na kuuchukua mji ambao ulikuwa umeimarika kwa ukristo mji wa Constantinople, mfalme wa Ottoman alitangaza kwamba wakristo wanaruhusiwa kurudi na watapewa makazi ya bure pia alichukua kanisa la kirumi akaligeuza msikiti akajenga soko moja hatari la kibiashara akaugeuzwa mji kitovu cha biashara.
Na kati ya vitu vilivyo fanya dola kupungua nguvu moja wapo ni kuacha utaratibu wa kuwa na vimada wakaanza kuoa na kuacha utaratibu wa kuaa ma prince. Kumbe utaratibu wao wa zamani ulikuwa wa kishenzi sema uliisaidia dola kuendelea kuwa imara....
Jana nimetazama documentary flani inayohusiana na dola iliyowahi kuwa kubwa sana dola ya Ottoman ambayo ilianza kama kabila dogo la wafugaji ikakua na kuwa dola moja kubwa ambayo mpaka leo ushawishi wake na alama zake ziko wazi.
Katika mambo ya kustaajabisha niliyo yaona ni kwamba mrithi wa kiti cha ufalme ilikuwa anawaua ndugu zake wote pindi anaposhika kiti cha ufalme ili kuzuia mvutano na kugombea madaraka.
Kuna kipindi mmoja aliua ndugu zake 19 ambapo japo ulikuwa ni utamaduni uliokwisha zoeleka ila watu wengi walisikitaka baada ya kuona majeneza 19 yakitolewa kwenye kasri ya kifalme asubuhi kuashiria kwamba mrithi kateketeza ndugu zake 19 akiwemo watoto wadogo kabisa.
Jambo lingine lilinifurahisha ni kwamba mfalme alikuwa haoi ila alikuwa na vimada ambapo angeweza kuwa na vimada hata 1,000 ambao walikuwa wanachaguliwa kutoka kwenye watumwa ambao ni mabikra na warembo lakini kati ya hao wote ni wachache walikuwa wanapata anfasi ya kulala na mfalme. Na pia mfalme alipokuwa akimjaza mimba kimada basi hafanyi naye mapenzi tena yani utamaduni wao ulikuwa ni kwamba mfalme haruhusiwi kuzaa na mwanamke mmoja watoto wa kiume zaidi ya mmoja hivyo kila Prince alikuwa na mama yake.
Huu utamaduni alikuja kuuondoa mfalme mmoja baada ya kulala na mtumwa mmoja kutoka syria akampenda na kuzaa naye watoto sita na kuamua kumuoa kabisa, jambo ambalo liliwafanya watu waamini huyo mtumwa alikuwa anatumia miziziology kwakuwa hakuwa mrembo kama wengine lakini mfalme alikuwa hachomoi kwake.
Jambo lingine ambalo lilinivutia ni kwamba utawala wa Ottoman ulipokuwa ukichukua miji na nchi walikuwa hawaui Wakristo wala kuwatesa walikuwa wanawaruhusu kuendelea na imani zao. Mfano baada ya kushinda na kuuchukua mji ambao ulikuwa umeimarika kwa ukristo mji wa Constantinople, mfalme wa Ottoman alitangaza kwamba wakristo wanaruhusiwa kurudi na watapewa makazi ya bure pia alichukua kanisa la kirumi akaligeuza msikiti akajenga soko moja hatari la kibiashara akaugeuzwa mji kitovu cha biashara.
Na kati ya vitu vilivyo fanya dola kupungua nguvu moja wapo ni kuacha utaratibu wa kuwa na vimada wakaanza kuoa na kuacha utaratibu wa kuaa ma prince. Kumbe utaratibu wao wa zamani ulikuwa wa kishenzi sema uliisaidia dola kuendelea kuwa imara....
Ahsante ila nishaifuta comment kuna kanambia niwe na hekima na nimemuelewa,na namshukuru.
Kwani hoja hujibiwa kwa hoja na si kebehi,naombeni mniwie radhi
Hilo la kuruhusu Wakristo kuishi kwa uhuru ni uongo mkubwa. Ni kweli kuna Wakristo waliruhusiwa kuendelea kuishi lakini ni kwa sharti moja kubwa:
Kulipa kodi ya kutokusilimu (Jizyah) na kukubali kudhalilishwa kwa mtindo wowote ambao muislamu angependa. Kwa mfano:
1. Kuvaa mkanda kiunoni ili kujitambulisha kuwa si muislamu
2. Kupita upande tofauti wa barabara/njia aliopo muislamu - tena kwa mbali.
3. Kulala chini kifudifudi (au kupiga magoti) wakati wa kulipa jizyah
4. Kuruhusu muislamu kuhubiri wakati wa ibada za Kikristo
5. Kuhakikisha ibada za Kikristo hazisikiki kwa mpita njia etc.
Watoto wa Kikristo ndio waliokuwa wanachukuliwa kwa nguvu na kufundishwa uislamu ili watumike kuwasilimisha au kuwadhalilisha wazazi wao (kama wanyapara kwa watumwa au wafungwa).
Kukiuka chochote kati ya hayo (na ambayo sijayaandika yalimaanisha HUKUMU YA KIFO mostly kwa kukatwa kichwa).
Pisheniiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,
Sio kweli haya maneno, umeyapatia wapi mkuu?
Unayosema yana ukweli ila nimeandika kwa kifupi maana sikuwa na lengo la kuandika kila kilichosemwa hata watoto wa wakristo walikuwa wanachukuliwa wakiwa wadogo wana Slimishwa na kuwa wanajeshi mwanzo wakristo walikuwa wanawaficha na kulia wakichukulia baadae wakaanza ona ni kama golden chance maana mtoto alikuwa anachukuliwa unakuta akiwa na miaka 12 anakuja kurudi akiwa na miaka 22 na cheo kikubwaVitabu vya historia Mkuu. Kuna references bora zaidi lakini kwa sasa chungulia hapa (na hapa hapajaandikwa yote):
Christianity in the Ottoman Empire - Wikipedia
Watu mnapenda ligi nimekwambia mm nimetazama documentary ambayo ina 1hr and 32 minutes inaelezea kwa kifupi mwanzo mpaka mwisho wa ottoman empire na inaisha baada ya vita ya kwanza ya dunia na usultan ulivyoondolewa kwa mapinduzi yaliyofanywa na kiongozi mmoja mkubwa wa jeshi.Kwa hiyo tamthilia ya Sultan unayoiangalia Azam Two ndio Documentary?
https://www.jamiiforums.com/threads/watu-wengi-jf-ni-waongo-alafu-wasahaulifu.1509991/
Hata kama ni uongo lakini ndo ushaandika!!Hilo la kuruhusu Wakristo kuishi kwa uhuru ni uongo mkubwa. Ni kweli kuna Wakristo waliruhusiwa kuendelea kuishi lakini ni kwa sharti moja kubwa:
Kulipa kodi ya kutokusilimu (Jizyah) na kukubali kudhalilishwa kwa mtindo wowote ambao muislamu angependa. Kwa mfano:
1. Kuvaa mkanda kiunoni ili kujitambulisha kuwa si muislamu
2. Kupita upande tofauti wa barabara/njia aliopo muislamu - tena kwa mbali.
3. Kulala chini kifudifudi (au kupiga magoti) wakati wa kulipa jizyah
4. Kuruhusu muislamu kuhubiri wakati wa ibada za Kikristo
5. Kuhakikisha ibada za Kikristo hazisikiki kwa mpita njia etc.
Watoto wa Kikristo ndio waliokuwa wanachukuliwa kwa nguvu na kufundishwa uislamu ili watumike kuwasilimisha au kuwadhalilisha wazazi wao (kama wanyapara kwa watumwa au wafungwa).
Kukiuka chochote kati ya hayo (na ambayo sijayaandika yalimaanisha HUKUMU YA KIFO mostly kwa kukatwa kichwa).
Asante sana kwa kutushirikisha.Mimi kuna jambo linanishangaza kuhusu dola hii, hasa nikitazama hii filamu ya Sultan.Dola ya Ottom ilikuwa ina uislamu sana tu, lakini ninachoshangaa, sioni kama wanafuata "sharia".Hayo ya kuua ndugu, masuala ya kuoa na kuolewa yote yanakiuka kanuni za kiislamu, aidha, dola ya Kiislamu halisi kabisaaa haitawaliwi kifalme.Kuna utaratibu wa ki-khalifa. Sasa nikiangalia filamu ya Sultan, sioni ile kuukumbatia ule uislamu hasa tuusomao kwenye Quran.Jana nimetazama documentary flani inayohusiana na dola iliyowahi kuwa kubwa sana dola ya Ottoman ambayo ilianza kama kabila dogo la wafugaji ikakua na kuwa dola moja kubwa ambayo mpaka leo ushawishi wake na alama zake ziko wazi.
Katika mambo ya kustaajabisha niliyo yaona ni kwamba mrithi wa kiti cha ufalme ilikuwa anawaua ndugu zake wote pindi anaposhika kiti cha ufalme ili kuzuia mvutano na kugombea madaraka.
Kuna kipindi mmoja aliua ndugu zake 19 ambapo japo ulikuwa ni utamaduni uliokwisha zoeleka ila watu wengi walisikitaka baada ya kuona majeneza 19 yakitolewa kwenye kasri ya kifalme asubuhi kuashiria kwamba mrithi kateketeza ndugu zake 19 akiwemo watoto wadogo kabisa.
Jambo lingine lilinifurahisha ni kwamba mfalme alikuwa haoi ila alikuwa na vimada ambapo angeweza kuwa na vimada hata 1,000 ambao walikuwa wanachaguliwa kutoka kwenye watumwa ambao ni mabikra na warembo lakini kati ya hao wote ni wachache walikuwa wanapata anfasi ya kulala na mfalme. Na pia mfalme alipokuwa akimjaza mimba kimada basi hafanyi naye mapenzi tena yani utamaduni wao ulikuwa ni kwamba mfalme haruhusiwi kuzaa na mwanamke mmoja watoto wa kiume zaidi ya mmoja hivyo kila Prince alikuwa na mama yake.
Huu utamaduni alikuja kuuondoa mfalme mmoja baada ya kulala na mtumwa mmoja kutoka syria akampenda na kuzaa naye watoto sita na kuamua kumuoa kabisa, jambo ambalo liliwafanya watu waamini huyo mtumwa alikuwa anatumia miziziology kwakuwa hakuwa mrembo kama wengine lakini mfalme alikuwa hachomoi kwake.
Jambo lingine ambalo lilinivutia ni kwamba utawala wa Ottoman ulipokuwa ukichukua miji na nchi walikuwa hawaui Wakristo wala kuwatesa walikuwa wanawaruhusu kuendelea na imani zao. Mfano baada ya kushinda na kuuchukua mji ambao ulikuwa umeimarika kwa ukristo mji wa Constantinople, mfalme wa Ottoman alitangaza kwamba wakristo wanaruhusiwa kurudi na watapewa makazi ya bure pia alichukua kanisa la kirumi akaligeuza msikiti akajenga soko moja hatari la kibiashara akaugeuzwa mji kitovu cha biashara.
Na kati ya vitu vilivyo fanya dola kupungua nguvu moja wapo ni kuacha utaratibu wa kuwa na vimada wakaanza kuoa na kuacha utaratibu wa kuaa ma prince. Kumbe utaratibu wao wa zamani ulikuwa wa kishenzi sema uliisaidia dola kuendelea kuwa imara....
Sasa kwanini unabishana nao? Si uwaache? Wenye kujua tupo, tutachangia.Watu mnapenda ligi nimekwambia mm nimetazama documentary ambayo ina 1hr and 32 minutes inaelezea kwa kifupi mwanzo mpaka mwisho wa ottoman empire na inaisha baada ya vita ya kwanza ya dunia na usultan ulivyoondolewa kwa mapinduzi yaliyofanywa na kiongozi mmoja mkubwa wa jeshi.
Sasa wewe unalazimisha kuwa nimetazama the Sultan kwanini nikatae kwani ni kosa kutazama the sultan mpaka nifiche nisingizie kuwa nimetazama documentary?
Hata kama ni uongo lakini ndo ushaandika!!
Kenye hiyo documentary niliyotazama mimi kuna ma professor wanakuwa wanachambua nadhani kama umetazama documentary unaelewa kunakuwaga na watu wanachambua, sasa mmoja anasema tofauti na wengine Uzban nadhani nimepatia jina ambaye ndiye mwanzilishi wa Ottoman empire kwanza hakuwa na lengo la kusambaza Uislam ila aliunda jeshi la kujilinda dhidi ya kabila falni ambalo lilikuwa linawatishia amani ambapo wao walikuwa wakivamia kijiji wanaua kila mtu na kubeba kila kitu.Asante sana kwa kutushirikisha.Mimi kuna jambo linanishangaza kuhusu dola hii, hasa nikitazama hii filamu ya Sultan.Dola ya Ottom ilikuwa ina uislamu sana tu, lakini ninachoshangaa, sioni kama wanafuata "sharia".Hayo ya kuua ndugu, masuala ya kuoa na kuolewa yote yanakiuka kanuni za kiislamu, aidha, dola ya Kiislamu halisi kabisaaa haitawaliwi kifalme.Kuna utaratibu wa ki-khalifa. Sasa nikiangalia filamu ya Sultan, sioni ile kuukumbatia ule uislamu hasa tuusomao kwenye Quran.
Kwanza wala sioni wakiswali.
Muhimu
Ninatambua baada ya mapinduzi yaliyopelekea kuondoa ufalme na kupata Uturuki ya sasa, kiongozi aliyechukua madaraka Mustafa Kemal Atatürk alifanya juhudi za makusudi za kuondoa mila na tamaduni za kiislamu na kukumbatia umagharibi.Ndiyo maana hata leo, waturuki wapowapo tu, huku wanataka kuwa magharibi huku wana vi-elenent vya uislam.Sijui hili ndo limeathiri hii filamu ya Sultan?
Mwenye kufahamu zaidi anisaidie
Halafu nimegundua Watanzania wengi hata hamjishughulishi kusoma na kujua mambo Ottoman empire ni historic fact usidhani hiyo the Sultanate ndiyo tamthlia tu inayoongelea Ottoman empire na huenda wew umejua uwepo wa hiyo empire kuptia hapo ila nikwambie tu kuna many films, vitabu na documentaries mamia kwa mamia yanayohusu hiyo empire.Kwa hiyo tamthilia ya Sultan unayoiangalia Azam Two ndio Documentary?
https://www.jamiiforums.com/threads/watu-wengi-jf-ni-waongo-alafu-wasahaulifu.1509991/
Ukike huo usijitetee mbele ya wanaumeMimi naipenda sana tamthilia ya
Sultan inaoneshwa azam two,nmekuwa nikiwasikia watu wengi wakiidharau na hapa jukwaan watu wanasema ni ya kidemu ila kwa mtu mwenye akili kama wewe nnauhakika ungeipenda maana ulichokiandika ndicho kinachoigizwa..asante kwa kushare.
Ulikua ukiijua hii dola kabla ya kuangalia Sultan?Halafu nimegundua Watanzania wengi hata hamjishughulishi kusoma na kujua mambo Ottoman empire ni historic fact usidhani hiyo the Sultanate ndiyo tamthlia tu inayoongelea Ottoman empire na huenda wew umejua uwepo wa hiyo empire kuptia hapo ila nikwambie tu kuna many films, vitabu na documentaries mamia kwa mamia yanayohusu hiyo empire.
Aljazeera ni kati ya channels ambazo uwa zinaonyesha documentaries za empire mbalimbali na zinakuwa more accurate kwasababu wanajaribu kuonyesha historical facts wakihoji maprofessor wa historia bila kuweka chumvi na sukari kama kwneye movie au tamthilia.
Kwa kukusaidia narudi nimetazama documentary na nimeitoa youtube and youtube andika the rise of ottoman empire english documentary zitakuja nyingi chagua ya pili ina 1hr 32 mins ndiyo nimetazama mimi
Sijawahi tazama hiyo tamthlia ya the sultan coz sina kingámuzi cha azam. Ottoman empire nimeijua zaman sana tangu niko primary more than 15 years ago. Nashangaa kusikia we umeijua kupitia the Sultan kwanza hata hiyo the Sultan sikujua kama inaongela Ottoman empire nilihis ni tamthlia ya kufikirika. Kuna tawala ambazo kama mpenzi wa historia lazima uzijue, Ottoman Empire, Persia, Roman empire, Utawala wa mapharao, China na utawala wa Kublai Khani.Ulikua ukiijua hii dola kabla ya kuangalia Sultan?