nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Nimeona Mara nyingi utata wowote unaotokea viwanjani, Mr kazi ndiye mtu wa mwisho kuhitimisha malumbano.
Kadi nyekundu
Magoli
Na maamuzi mengine
VAR HALISI NI GHALI SANA KIASI TFF WANASHINDWA KUNUNUA?
Ni muda mwingi tumekuwa tukilaumu kuhusu waamuzi kuzipendelea simba na yanga.
Ifike mahali sasa tff inunue japo machine moja ambayo itatusaidia kuepuka kuwalaumu waamu
Hii itawaondoa waamuzi kwenye usimba na uyanga na kuepusha rushwa na upangaji wa watokeo.
Ni wajibu wa serikali kuwafanya wananchi wake wawe na furaha na moja ya furaha ya watanzania ni mpira wa miguu basi hata serikali kuu iingilie kati ununuzi wa hizi machine ili wananchi tupate furaha.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app