Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote lakini tuliamua kupambana nayo na tukawashinda tangu 1995. Lakini sasa tuseme iwe mwisho