GE2025 Othman Masoud: Kuhusu mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM tuendelee kuchukulia kama tuhuma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
 
Muislamu tena mzanzibar akili.azitoe wapi act ni project ya ccm kama ilivyo CHAUMMA
 
Kama mintuhuma, zipuuzwe ??.

huyuKuma anafaidika na ugali anaopata sasam
 
Muislamu tena mzanzibar akili.azitoe wapi act ni project ya ccm kama ilivyo CHAUMMA
Hivi unamjua Othman Masudi au unafuata mkumbo ili muradi uonekane umechangia!!
 
Back
Top Bottom