Wakuu mimi nataka kufaham namna ya ku enable OTG kweny sim yang sim ni Infinix Hot 10 play ila kila nikiweka iyo otg sio kitu nimeshatumia ile app ya search otg access inaonexha et cm hai support wakat kweny box inaonexha Usb on the go yes.