mwalubaduh
Senior Member
- May 31, 2016
- 131
- 62
[emoji2] [emoji38] [emoji2] [emoji38]Ilikuwa Jumamosi asubuhi, kazee kamjini kakaingia
na bonge ya mdada kwenye yard ya magari mapya.
KAZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti
kakazunguka na kwa msaada wa mwenye wa
mwenye yard kakapata Noah nyeupe nzuri sana.
MDADA: Mi naitaka hii
KAZEE: Hakuna tatizo kabisaaa. Kwani shilingi ngapi
hii? Kakatoa kitabu cha cheki na kuandika cheki
palepale na kumpa mwenye yard
MUUZAJI: Sasa mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari
utakuja chukua Jumatatu nikihakikisha kuwa una
pesa benki. Nipe namba yako ya simu Mzee
KAZEE: Hilo nilijua. Haya twende zetu sweety Jumatatu
ntakuja kukuchukulia gari lako..................Siku ya
Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee.
MUUZAJI: We mzee kavu sana, akaunti yako ilikuwa
haina hata senti tano.
KAZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.
Stunter huna mpinzani kwenye thread kama hizo mana ni noma ngoja nidurufu nikabandike somewhreha ha ha ha ha ha.................................................................mchan umekuwa mzuri sana kwangu leo
Tena burehii inawatokea sana wale wasichana wapenda mtelemko, hapo lazima agegedwe
Baskeliiii?===floHa ha ha ha ha ha ha ha ha ah ah ah ah ah a ha ha ah ah a ha ha ha ha
yani nilikuwa nasoma hii nikiwa juu ya baskeli mbona nimeanguka kwa kuchekaaaaaa
unaguna nini sasaMmmhh mmmh mmmmhh
haaaa! haaaa!Tena bure
kama huamini basiBado siamini....
nilimaanisha mitelemko kama hiyo ulopostSio kila mtelemko ni mbaya, so usiseme haupendi mtelemko,
zipo nyakati zikifika Mtelemko ndio inakuwa njia sahihi ya kukusave
axanteanhaa mi nilidhani ni-general...
Anyway karibu breakfast